Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September 9

Daily Archives: September 9, 2022

WANANCHI WA TEMEKE NA MAENEO YA JIRANI WAMETAKIWA KUJITOKEZA KWENYE AFYA CHEK

0
Na Magreth Mbinga Wananchi wa Wilaya ya Temeke na maeneo ya jirani wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupima afya zao katika zoezi la afya chek ambalo...

WANANCHI, WATUMISHI MUHEZA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KILIO CHA TOZO NA KUSHUKA BEI MAFUTA.

0
NA BONIFACE GIDEON, MUHEZA WANANCHI na Watumishi wa Umma Wilayani Muheza Wamemshukuru Rais Samia pamoja na Serikali kwaujumla kwa Matumizi Mazuri ya Fedha za tozo...

WANUNUZI WA TUMBAKU AMBAO HAWAJAWALIPA WAKULIMA WACHUKULIWE HATUA – MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote ambao wamechukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha zao wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwani...

TBS YAWAFUNDA WATAALAMU WA MAABARA KAGERA.

0
BUKOBA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendesha mafunzo kwa wataalamu wa maabara za ubora na uchunguzi kwa lengo la kuwapa ufahamu juu ya vifaa wanavyovitumia...

MIRADI YA MAJI INAYOTEKELEZWA KWA FEDHA ZA UVIKO-19 KAGERA IKAMILIKE KABLA YA SEPT 30.”...

0
Na Allawi Kaboyo Missenyi. Naibu katibu mkuu wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Kemikimba ameagiza kukamilishwa na kuanza kutoa huduma ya maji miradi yote inayotekelezwa kwa...

MAPITIO YA SERA NA MITAALA YANAANGAZIA PIA TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA-WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Morogoro Serikali imesema kuwa inaendelea kufanya mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na mabadiliko ya mitaala ili kuongeza...

RC ROSEMARY SENYAMULE AJA NA MBINU MPYA YA KUINUA ELIMU DODOMA,UTORO SASA RIPOTI...

0
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amewataka Wakuu wa Shule za Mkoa huo kuanzia ngazi ya Elimu msingi na Sekondari kuhakikisha wanatoa ripoti...