WATAALAMU KUTOKA KOREA KUSINI WAWASILI KUTOA MAFUNZO YA MATUMIZI YA RELI YA SGR.
Na Magreth Mbinga
Wakati zikiendelea hatua za mwisho kabla ya kuanza safari za treni ya kisasa SGR wataalamu kutoka shirika la Reli Korea Kusini (KORAIL)...
WAZIRI WA AFYA ATOA TAHADHARI YA UGONJWA WA EBOLA NCHINI
Waziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu ametoa tahadhari juu ya tishio la ungonjwa wa Ebola nchini Tanzania ambao kwa sasa upo nchini Uganda baada ya...
WANADIASPORA KUWENI MABALOZI WA KUITANGAZA TANZANIA – WAZIRI MKUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Diaspora wote wawe mabalozi wazuri wa kuitangaza Tanzania kokote waliko na wawe tayari kuainisha fursa zilizopo nchini.
“Ninyi ni mabalozi...
WANANCHI WA MIPAKANI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI YA TISHIO LA UGONJWA WA EBOLA
Kutoka Kagera 28/9/2022
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa wananchi waliopo katika maeneo ya mpakani mwa Uganda na Tanzania kuchukua...
KIGAHE AZINDUA BARAZA LA SHIRIKA LA VIWANDA LA UTAFITI NA MAENDELEO YA VIWANDA TANZANIA
NAIBU Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amezindua Baraza la Shirika la Utafiti wa na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO).
Akizungumza katika hafla...
MACHIFU MKOA WA MARA WAMPONGEZA RAIS SAMIA NA JESHI LA POLISI KWA KUDUMISHA HALI...
Machifu kutoka mkoa wa Mara wamezungumza na Waandishi wa Habari kuhusu matukio ya mauaji yaliyotokea mkoani Mara.
Tamko hilo limetolewa tarehe 28 Septemba 2022...
SERIKALI INATARAJIA UWEKEZAJI HUU KUWAGUSA MOJA KWA MOJA WANANCHI WA WILAYA YA MKINGA, MKOA...
Serikali kupitia wizara ya Uwekezaji,viwanda na Biashara imezitaka kampuni na mashirika ya nje na ndani ya nchi yanayotaka kuwekeza Nchi kuzigatia utunzaji wa mazingira...
RAIS SAMIA AMETOA BILIONI 160 KUJENGA MADARASA MAPYA 8,000.
Na Eliud Rwechungura - Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameridhia kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni 160 kwa ajili...
TUME YA MADINI YAENDELEA KUWANOA WACHIMBAJI WA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA
Wapongeza kasi ya utoaji elimu. Wataalam kutoka Tume ya Madini wameendelea kutoa elimu kwa wachimbaji wa madini kutoka katika mkoa wa Geita na mikoa ya...
BASHUNGWA ASIMAMISHA KAZI MAAFISA WATANO – MBULU MANYARA
OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewasimamisha kazi Maafisa watano Halmashauri ya...













