KINANA ATIA SAINI KITABU CHA WAGENI, AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM GEITA.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, ametia saini kitabu cha wageni katika Ofisi za CCM Mkoa wa...




