JOKATE AKABIDHI PIKIPIKI KWA MAMA ALIYEJIFUNGUA WATOTO WANNE
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Jokate Mwegelo leo amekabidhi Pikipiki aina ya Boxer kwa Mwanamama Fatuma ambaye alijifungua watoto wanne kwa wakati mmoja.
Akizungumza na...
DKT. KIJAJI: MPANGO WA SERIKALI WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA UNAENDELEA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji amesema Serikali inaendelea kutekeleza Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara nchini (Blueprint) ili kuvutia uwekezaji...
PROF.JAMAL AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WADAU KUPITIA NYARAKA ZA STADI ZA MAISHA KWA VIJANA...
Na: Mwandishi Wetu – Dodoma
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Prof. Jamal Katundu amefungua kikao kazi...
DKT.KIRUSWA AWATAKA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI KWENDA KUJIFUNZA NZEGA
Na Asteria Muhozya – NZEGA
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amewataka Wachimbaji Wadogo wa Madini nchini kujifunza kutoka kwa wachimbaji wa Wilaya ya...
WATU LAKI 3 KUFIKIWA NA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA KIPINDI CHA MIAKA MITATU
Na Magreth Mbinga
Taasisi inayoshughulika na kutoa mitaji kwa wawekezaji binafsi ya aecf imetenga Dola za Marekani Milioni 3.7 kwaajili ya kuwawezesha wajasiliamali binafsi kuweza...
TANZANIA-ITALIA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
Ubalozi wa Italia kushirikiana na ubalozi wa Tanzania umeandaa kongamano la kibiashara ( ITALY- TANZANIA BUSINESS AND INVESTMENT FORUM ) lenye lengo la uwekezaji...
WAKAZI WA KIJIJI CHA NYAMAKOBITI WILAYA YA SERENGETI WATUMA SALAMU KWA IGP WAMBURA
Leo Septemba 29, 2022 Wakazi wa Kijiji cha Nyamakobiti kilichopo Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara wametuma salamu za Pongezi na Ahsante kwa IGP Wambura...
WATHIBITI UBORA NI MBONI YA SERIKALI KWENYE UBORA WA ELIMU-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Dodoma
Serikali imesema kuwa wathibiti ubora wa elimu ni mboni ya serikali katika kusimamia na kuimarisha ubora wa elimu nchini.
Waziri wa Elimu,...
TANZANIA KUNUFAIKA NA DOLA MILIONI 100 ZA MFUKO WA UWEKEZAJI KUTOKA JAPAN
Ni za kukuza uchumi, ziliahidiwa katika Mkutano wa TICAD 8, Tunisia
TANZANIA ni miongoni mwa nchi za Afrika zitakazonufaika na fedha za Mfuko wa Kukuza...
HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA YAPITIA HESABU ZA MWAKA
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Mhe. Abdulrahman Shiloow leo alhamisi Septemba 29, 2022 ameongoza mkutano maalum wa Baraza la Madiwani wa...













