WADAU WA ELIMU WAKUTANA KUFANYA TATHMINI YA ELIMU NCHINI
OR - TAMISEMI
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe ameungana na timu ya Ufuatiliaji wa Kisekta,...
SERIKALI YATOA WITO KWA WADAU WA AFYA KUTATUA CHANGAMOTO YA WATUMISHI SEKTA YA AFYA
Na Mwandishi wetu - New York, Marekani Serikali kupitia Wizara ya Afya, imewataka Wadau wa Sekta ya Afya kuimarisha ushirikiano ili kutatua changamoto zinazokabili eneo...
TAASISI YA MWALIMU NYERERE YAKUTANISHA WADAU WA SIASA
Na Magreth Mbinga
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba amevitaka vyama vya siasa Nchini Tanzania wanapozungimzia mfumo wa vyama vingi wazungumzie mambo...
WANANCHI WALIOPATIWA VOCHA ZA VIWANJA WATAKIWA KULIPIA MAPEMA ILI KUPATA HATI
WANANCHI ambao wamepatiwa vocha za viwanja Mkoa wa Tanga wamekumbushwa kulipia viwanja hivyo ili wapatiwe hati kwa haraka ili kuepusha mrundikano kwakuwa huduma ya...
CCM TANGA YAKARIBISHA WAWEKEZAJI
Na Paskal Mbunga, Tanga.
CHAMA cha Mapinduzi, Mkoa wa Tanga kimewakaribisha wawekezaji wanaotaka kuwekeza maeneo mbalimbali ya kibiashara yanayomilikiwa na Chama hicho mkoani hapa kwa...








