Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September 6

Daily Archives: September 6, 2022

TANZANIA MWENYEJI WA MASHINDANO YA WANAWAKE MCHEZO WA GOFU

0
Na Magrethy Katengu Tanzania imekuwa mwenyeji wa wa Mashindano ya wanawake mchezo wa Gofu Bara la Afrika ulihudhuriwa na nchi mbalimbali 21 ikiwemo Mali,Morocco,Botswana,Afrika kusini,Zambia,Uganda Akizungumza...

MATAIFA YA AFRIKA YANAPASWA KUWEKA SERA RAFIKI KATIKA SEKTA YA KILIMO

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema ili kuharakisha mabadiliko katika mfumo wa Chakula, Mataifa ya Afrika yanapaswa...

TARURA YAONDOA KERO YA WANANCHI SAME KWA KUFUNGUA BARABARA MPYA

0
Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya...

WAZIRI MABULA ATAKA HATUA ZA KINIDHAMU ZICHUKULIWE KWA WATUMISHI WASIO NA NIDHAMU

0
Na Magreth Mbinga Watumishi wa umma wametakiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu ambapo kumekuwa na kutoheshimiana baina ya viongozi na wanaowaongoza pamoja na kuogopa kubeba dhamana...

BUMBULI YAVUKA LENGO, YACHANJA WATOTO 33,159

0
Na Yusuph Mussa, Bumbuli HALMASHAURI ya Wilaya Bumbuli (Bumbuli DC) mkoani Tanga, imevuka lengo la uchanjaji chanjo ya ugonjwa wa polio kwa watoto chini ya...

FEDHA ZA TOZO NDIO ZINAZOTEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO-STEVE NYERERE

0
Na Magrethy Katengu Msanii wa Bongo Movie Steve Mengele" Steve Nyerere" amewasihi Watanzania kuendelea kuchangia kodi kupitia tozo za miamala ya benki na simu kwa...

WAZIRI MKENDA AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA VENEZUELA MHE YURI

0
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda jana tarehe 5 Septemba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Venezuela...

SERIKALI KUJA NA  MAPENDEKEZO  YA SHERIA MPYA YA USIMAMIZI WA MAAFA.

0
Na Mwandishi wetu- Dodoma Serikali imeandaa mapendekezo ya kutungwa kwa  sheria mpya ya usimamizi wa maafa ili kuweka mfumo  wa udhibiti na uratibu wa maafa ...