KAMATI YA BUNGE YASISITIZA MRADI WA MAJI NZUGUNI KUKAMILIKA KWA WAKATI
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imeisisitiza Wizara ya Maji na Mamlaka ya Maji Safi na...
SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASHARIKI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inasimamia kikamilifu sekta ya nishati ikiwemo kuendelea...
BILIONI 150 YA RUZUKU YA MBOLEA IMEIDHINISHWA ILI KUWEZESHA UPATIKANAJI WA BITHAA KWA WINGI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 150 kutumika kwa ajili ya ruzuku ya mbolea ili kuwezesha upatikanaji wa...
TANZANIA NA NCHI ZA AFRIKA ZINAHITAJI MABADILIKO KATIKA KUFIKIA MATUMIZI YA NISHATI MBADALA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amehutubia Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa...
MAGEUZI 10 NDANI YA SERIKALI YA RAIS SAMIA YANAYO BADILI SURA YA TANZANIA KIMATAIFA
Na Mwl Udadis, Sumbawanga
Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye...








