Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September 1

Daily Archives: September 1, 2022

SERIKALI KUHAKIKISHA MAKUNDI YOTE YANAPATA FURSA SAWA

0
Na WMJJWM, Dodoma Serikali imedhamiria kuhakikisha makundi yote katika jamii yanashiriki kikamilifu kwenye utekelezaji wa Mipango, Sera na Miongozo inayotegenezwa ili kila mmoja anufaike na...

MKANDARASI ATAKIWA KUMALIZA BARABARA KWA WAKATI/ WANANCHI WACHEKELEA SASA

0
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Muleba mkoani Kagera imeagiza Barabara zote zinazotekelezwa wilayani humo kukamilika kwa wakati na kuzingatia ubora unaotakiwa. Kamati hiyo imetoa...

KAMPUNI YA GF TRUCKS & EQUIPMENT LTD YAINGIA MAKUBALIANO YA UDHAMINI NA GEITA GOLD...

0
Na mwandishi wetu GF Trucks & Equipment LTD ni kampuni ya uuzaji wa Magari Makubwa (FAW), Machine(XCMG) na spare parts yatangaza kuingia Udhamini na Geita...

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UUZAJI WA ARDHI HOLELA.

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi Dakta Angelina mabula amepiga marufuku kwa wapimaji na waendelezaji wa Milki kuuza viwanja vyenye vipimo...

DC KALAMBO AFANYA UZINDUZI WA ZOEZI LA CHANJO YA POLIO

0
Na Mwandishi Wetu, Kalambo. Mkuu wa Wilaya ya Kalambo iliyoko Mkoani Rukwa, Mhe. Tano Mwera amewataka kuhakikisha Wazazi wanawapeleka watoto wao wote walio chini ya...

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA TMDA KATIKA KULINDA AFYA YA JAMII

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza TMDA kwa kazi kubwa ya udhibiti inayofanyika katika kulinda...