TMA: MVUA ZA VULI ZINATARAJIWA KUWA ZA CHINI YA WASTANI HADI WASTANI
Na Magrethy Katengu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa...
WANANCHI: TOZO NI MUHIMU KWA MAENDELEO YETU
Maelfu ya Wananchi jijini Dar es salaam, leo Septemba 01, 2022, wameendelea kutoa maoni mbalimbali kuhusu umuhimu wa Tozo katika maendeleo, Wengi wakieleza namna...
BUMBULI YACHANJA WATOTO 10,377 SIKU YA KWANZA
Na Yusuph Mussa, Bumbuli
HALMASHAURI ya Wilaya Bumbuli mkoani Tanga, huenda ikavuka lengo la uchanjaji chanjo ya ugonjwa wa polio kwa watoto chini ya miaka...
RC RUKWA: WATUMISHI TATUENI KERO ZA WANANCHI
Na. OMM RukwaMadiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga wametakiwa kushirikiana katika kutatua kero na shida za wananchi ili kuleta ustawi wa...
TANZANIA NA SINGAPORE KUBADILISHANA WAKUFUNZI KWENYE VYUO VYA UFUNDI NA UJUZI
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
Serikali imesema kuwa Tanzania ipo tayari kubadilishana na Singapore wakufunzi wa vyuo vya Ufundi na Ujuzi ili kuongeza uelewa...
MHE. RAIS MWINYI AWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWA WAADILIFU
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wanzanzibari Serikali yake itachukua hatua zaidi za kuhakikisha inadhibiti ubadhirifu...
KINANA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KAGERA, ATOA ANGALIZO UJENZI WA BARABARA INAYOUNGANISHA MKOA...
Makamu mwenyekiti wa ccm bara comrade Abdulrahman Kinana ameelezea kutoridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa barabara inayounganisha mikoa ya Kigoma na Kagera.
Akizungumza mjini...
WAWEKEZAJI ARUSHA WAMWAGIA SIFA RAIS SAMIA UJENZI WA BARABARA ZA TARURA
Wawekezaji na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamemsifu na wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa...











