WAZIRI MKUU ATAKA NGUVU ZAIDI UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wadau wote wa uwezeshaji wananchi kiuchumi waongeze nguvu katika kutoa huduma za uwezeshaji hasa maeneo ya pembezoni ya miji...
WAZIRI MKUU AWATAKA MABALOZI WAHAMASISHE MASOKO, UWEKEZAJI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali waweke msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na kuhamasisha zaidi upatikanaji wa...
WAZIRI NDALICHAKO ATAKA UKARABATI WA CHUO UENDANE NA THAMANI YA FEDHA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameelekeza viongozi wanaosimamia ukarabati wa Chuo...
ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA TANO (500) ZIMEKUSANYWA UPITIA HALMASHAURI NA MABARAZA YA MIJI
Zaidi ya shilingi Milioni mia tano (500) zimekusanywa kupitia halmashauri na mabaraza ya miji kwa ajili ya uwezeshaji wananchi kiuchumi kupitia mikopo nafuu isiyo...
GLOBAL FUND YAUNGA MKONO SERIKALI KUKABILIANA NA MAGONJWA NCHINI.
Na mwandishi wetu- Dodoma
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaguzi kutoka...
WANANCHI TANGA WASIFU UWEKEZAJI KWENYE KILIMO CHA UMWAGILIAJI
Katika kuhakikisha Kilimo cha Umwagiliaji kinamkomboa mkulima Mkoani Tanga pamoja na Wilaya zake, Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan...









