Saturday, June 27, 2026
Home 2022 September 18

Daily Archives: September 18, 2022

VIONGOZI WETU WANAMATUMAINI NA MICHEZO YA FEASSSA-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wanamatumaini makubwa kuwa mashindano ya shule za msingi na Sekondari za Afrika Mashariki...

VIJANA 12,000 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA-MHE. NDALICHAKO

0
Vijana zaidi ya 12,000 katika halmashauri 117 Mikoa 17 wamenufaika na mafunzo ya Kilimo cha Kisasa kwa kutumia teknolojia ya kitalu nyumba.Serikali kupitia Ofisi...

RAIS SAMIA ANAVYOIMARISHA MIUNDOMBINU YA ELIMU KWA VITENDO

0
Na Mwl Udadis, Temeke Tangu alipoingia madarakani juhudi za Rais Samia katika kuboresha huduma kama vile Elimu, Afya na upatikanaji wa Maji safi na salama...

MRADI WA MAJI WA SH.BILIONI 4.3 WASAINIWA KATA YA PWAGA JIMBO LA KIBAKWE

0
Na mwandishi wetu. Wananchi wa kata ya Pwaga wanatarajia kuanza kunufaika na mradi mpya wa maji baada ya serikali kupitia Wakala wa Maji na Usafi...