SAKATA LA PANYA ROAD DSM: DC NYANGASA AWATAKA WANANCHI KUTOA TAARIFA ZA WANAOWAHISI
DC Nyangasa awataka wananchi kutoa taarifa za wanaowahisi zifanyiwe uchunguzi , atoa namba maalum
-Awatahadharisha vijana kutojihusisha na vikundi vya uhalifu
Ahimiza ulinzi shirikishi
Mwenyekiti wa kamati...
BASHUNGWA ASISITIZA SHULE KUWA NA HATIMILIKI YA ARDHI KABLA YA DISEMBA 30.
Na OR TAMISEMI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Innocent Bashungwa amewasisitiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote...
UREJESHO TV YAWA MFUMO BORA WA MAWASILIANO YA KULITANGAZA NENO LA MUNGU AFRIKA
Na.Khadija Seif, Mzawablog
KATIKA kuunga mkono jitihada za serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan Kanisa la RGC Miracle Centre linatarajia kufanya tamasha la muziki...
“PROGRAMU YA MAENDELEO YA SEKTA YA MAJI AWAMU YA TATU NI SHIRIKISHI”-WAZIRI AWESO.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezindua rasmi awamu ya Tatu ya Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji iliyoanza Julai 2022 hadi...







