RAIS SAMIA AZINDUA MWONGOZO WA MATUMIZI YA MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua muongozo maalumu kwa matumizi ya matokeo Sensa ya watu na makazi ya...
WAZIRI UMMY AKAGUA UTAYARI WA KUKABILIANA NA EBOLA AMESISITIZA MAFUNZO ZAIDI KWA WATUMISHI NA...
Waziri Ummy ametembelea kituo cha kutibu magonjwa ya mlipuko na ambukizi cha Temeke {Temeke Isolation Center} pamoja na Kipawa.
Ameongeza "Tuliweza kuishi na corona, ukisoma...
RAIS SAMIA AMEANDIKA HISTORIA UJENZI UWANJA WA MSALATO
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema CCM inapongeza kwa dhati Rais Samia ambaye pia...
WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MAKTABA MPYA YA UONGOZI ILIFASIRI KITABU CHA HAYATI BENJAMINI KWA LUGHA...
Na Magrethy Katengu
Waziri Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amewataka watanzania hususan viongozi mbalimbali, kujenga utaratibu...
TAASISI YA BILAL MUSLIM YAWAFUNDA WAZAZI MALEZI MAZURI YA WATOTO KATIKA MISINGI YA KIDINI
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
Wito umetolewa kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu Nchini kuhakikisha wanawalea Watoto katika Maadili Mema ya Kidini ili kujenga Taifa la...
BILIONI 8 KUIMARISHA MPANGO WA MAFUNZO WA MADAKTARI BINGWA NA BOBEZI NCHINI.
Na WAF- DOM.
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeongeza fedha za kusomesha Wataalamu bingwa na bobezi hadi kufikia shilingi Bilioni 8 kutoka Shilingi Bilioni 3...
CHUO CHA AFYA MUHIMBILI-MUCOHAS JITATHIMINI UWAJIBIKAJI NA UONGOZI PROF.MAKUBI
Akiweka chini ya uangalizi wa karibu kwa miezi mitatu
Na. WAF, DSM
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Chuo cha kati...
HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA YAMWAGA MAMILIONI YA MIKOPO KWA MAKUNDI MAALUMU
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
Halmashauri ya Jiji la Tanga imekabidhi jumla ya shs.377 milioni ukiwa ni mkopo kwa vikundi 43 vya uzalishaji mali kwa kipindi...
HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA KUKAMILISHA VYUMBA VYA MADARASA KABLA YA JANUARI
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
Serikali imetoa shilingi Million 580 kwaajili ya ujenzi Madarasa 29 ya Sekondari katika kata zilizopo ndani ya Halmashauri ya jiji la...
BODI YA WAKURUGENZI YA WRRB YATAKIWA KUKUZA JUHUDI ZA SERIKALI ZA KURASIMISHA MIFUMO YA...
WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), kukuza juhudi...













