Saturday, June 27, 2026
Home 2022 October

Monthly Archives: October 2022

IDADI YA VIFO VITOKANAVYO NA MATUMIZI YA KEMIKALI YAFIKIA MILIONI 2

0
Na Magrethy Katengu Imeelezwa kuwa idadi ya vifo vitokananvyo na matumizi ya kemikali imeongezeka hadi kufikia milioni mbili kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa 2019 na...

KAMPUNI YA WESE YAJA NA SULUHISHO LA MTAJI KWA VIJANA WA BODABODA NA BAJAJI

0
Na Magrethy Katengu Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam Godwin Gondwe amewashauri vijana kuachana na kuwa tegemezi huku wakijilamu hawana mitaji wajichanye...

TMA YASHAURI SEKTA ZA SERIKALI NA BINAFSI KUFUATILIA UTABIRI KATIKA SHUGHULI MBALI MBALI.

0
Na Hadia Khamis.Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini(TMA) imesema mikoa 14 inayopata msimu mmoja wa mvua inatarajiwa kunyesha mvua za chini ya wastani hadi...

LEAT NA RUSUDEO WATOA HATI ZA HAKI MILIKI ZA KIMILA 4,530 NKASI

0
Na. OMM Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amepongeza Timu ya Wanasheria Watetezi wa  Mazingira kwa Vitendo  (LEAT) na Shirika la Maendeleo Endelevu...

WAZIRI JAFO ATETA NA MKURUGENZI WA PLAN INTERNATIONAL

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika...

MHE. KHAMIS HAMZA KHAMIS AMEWATAKA WANANCHI KUACHA KUVAMIA NA KUHARIBU VYANZO VYA MAJI.

0
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis amewataka wananchi kuacha kuvamia na kuharibu vyanzo vya maji. Pia amekemea...

WAZIRI GWAJIMA AWATAKA MAOFISA USTAWI KUFANYA UTAMBUZI WA WATOTO

0
Na Mwandishi wetu, Dodoma Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dk. Dorothy Gwajima amewataka maofisa Ustawi wa Jamii kufanya utambuzi wa...

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUENDELEA KUIMARISHA HUDUMA ZA AFYA-MAJALIWA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuimarisha utoaji wa huduma za afya kwa kuwezesha upatikanaji wa wataalam, dawa,...