Friday, June 26, 2026
Home 2022 October 17

Daily Archives: October 17, 2022

WAKALA WA MAABARA YA VETERINARI TANZANIA YAPOA MSAADA WA FIMBO ZA KUTEMBELEA KWA WALEMAVU...

0
Na Magreth Mbinga Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania wametoa fimbo za kuwasaidia walemavu wa macho kutembea ikiwa ni kurudisha kwa jamii kama shukrani kwa...

KAMPASI YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KUJENGWA KIGOMA-WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Kigoma Serikali kupitia Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ina mpango wa kuanzisha kampasi ya MUHAS mkoani Kigoma. Kampasi hii...

WAZIRI SIMBACHAWENE AWAPA KONGOLE TIMU ZA MICHEZO OFISI YA WAZIRI MKUU

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe: George Simbachawene amezipongeza timu za michezo za ofisi ya Waziri Mkuu kwa...

BODI YA FILAMU YAWAITA WASANII KUWASILISHA KAZI ZAO KUWANIA TUZO DESEMBA 2022 ARUSHA.

0
NA BONIFACE GIDEON, TANGA Bodi ya Filamu Tanzania leo mkoani Tanga imeanza zoezi la ukusanyaji wa kazi za sanaa za wasanii wa filamu mbalimbali hapa...

PROF. KITILA MKUMBO AJIVUNIA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA UBUNGO

0
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amesema Serikali inaendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya barabara katika Jimbo la Ubungo ili kuhakikisha zinapitika...