VIKAO VYA MASHIRIKIANO KUENDELEA KUFANYIKA
na mwandishi wetu.
Serikali imedhamiria kuendeleza kufanya Vikao vya Mashirikiano ili kufanya tafakari ya pamoja juu ya shughuli zinazofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu wa...
USTAWI WA FAMILIA UNATEGEMEA LISHE BORA- RC SENDIGA
Na. OMM Rukwa
Halmashauri za mkoa wa Rukwa zimesema zitaendelea kuhakikisha zinatenga na kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji afua za lishe ili kukabiliana na...
DKT. KIJAJI: WIZARA INAFANYIA KAZI MAELEKEZO, MIONGOZO NA MAONI; UANZISHAJI, UENDESHAJI BANDARI YA BAGAMOYO,...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuwa Wizara itayafanyia kazi maelekezo,...
DKT FRANCIS: NI WAJIBU WA VYUO VIKUU NCHINI KUFANYA TAFITI MBALIMBALI
Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kimetakiwa kutengeneza mkakati maalumu wa kuwawezesha wahitaji wa Chuo hicho kuwa na uwezo wa kujiajiri kwa...
MRADI WA MAJI WA KIGOMA KUKAMILIKA DISEMBA 2022
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ametembelea Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira Kigoma. Mradi huu unatumia ziwa...
MCHENGERWA: FANYENI OPERESHENI YA UHARAMIA
Anitha Jonas - Ofisi ya Hakimiliki Tanzania
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameiagiza Ofisi ya Hakimiliki Tanzania kukamilisha marekebisho ya Sheria...
TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA.
Cairo-Misri
Mapema Tarehe 16 Octoba Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso alikutata na Waziri wa Maji wa Misri Mhe.Profesa Nabhan Sweilam Jijini Cairo na kuelekeza timu...










