MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KAGERA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa...
KIKAO CHA USHIRIKIANO BAINA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA RAIS (SMZ)...
Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu imepata ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar ambao umelenga...
“KIJIJI CHOCHOTE NCHINI HAKITASAJILIWA BILA KUSHIRIKISHA WIZARA ZA KISEKTA” Mhe. David Silinde
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI),Mhe.David Silinde (Mb) amesema Serikali imetoa agizo kwamba kwa Mikoa na Halmashauri...
LATRA YAISHAURI TRC KULINDA MIUNDOMBINU YAKE ILI KUZUIA AJALI
Magrethy Katengu
Maamlaka ya Udhibiti wa usafiri wa ardhini (LATRA) imelitaka shirika la Reli Nchini ( TRC) kuhakikisha linalinda usalama wa wananchi kwenye miundombinu ya...
RAIS SAMIA AWASILI KAGERA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi mbalimbali wa Chama na...
WANAFUNZI SHULE YA WASICHANA JANGWANI WAPATIWA ELIMU YA USALAMA MTANDAONI
Na Magrethy Katengu.
Serikali kipitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknilojia ya Habari imewashauri wanafunzi kutumia mitandao vizuri kuepuka kutuma ujumbe au picha zisizo na...
ELIMU BIMA YA AFYA KWA WOTE YAANZA KUTOLEWA
Wizara ya afya nchini Tanzania imeanza kuelimisha wananchi juu ya umuhimu wa bima ya afya kuanzia ngazi ya zahanati hadi ngazi ya hospitali ya...
EBOLA: TUCHUKUE TAHADHARI SAHIHI.
Na. WAF - Morogoro
Wataalamu wa Afya wametakiwa kujua ugonjwa wa Ebola na kuwaelimisha wengine ili kujua jinsi ya kujikinga pamoja na kuchukua tahadhari sahihi...
MAKAMBA: RAIS SAMIA KUONGOZA KONGAMANO LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi wa Kongamano la Nishati safi ya Kupikia yaani 'Clean...












