MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI NCHINI YAMEAGIZWA KUFUNGUA AKAUNTI ZAO KATIKA BENKI ZA HAPA NCHINI
Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini yameagizwa kufungua akaunti zao katika benki za nchini na kitendo hicho kimetajwa kama ni sehemu ya uzalendo.
Wito huo ulitolewa...
WAHASIBU SEKTA YA MAJI WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA ZAO
Wahasibu katika Sekta ya Maji wametakiwa kufanyia kazi maeneo yenye changamoto yakiwemo maeneo ya ufungaji wa hesabu za mwisho na mikataba ili kuepusha kujirudia...
MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI VYA NGUMI TANGA YAFANA .
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
MASHINDANO ya kutafuta vipaji vya mchezo wa Ngumi Mkoa wa Tanga Maarufu kama Five Brothers boxing championship yameanza kupata mwitikio mkubwa...
TAMISEMI WAMUAGA WAZIRI BASHUNGWA
OR -TAMISEMI
Menejimenti wa Watumishi wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wakiongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za...
VIFAA TIBA KUPELEKWA KITUO CHA AFYA CHA KABYAILE
Na.Catherine Sungura,WAF-Misenyi
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ameagiza kupelekwa kwa vifaa tiba ikiwemo mashine ya usingizi na upasuaji ndani ya wiki moja kwenye kituo...
WADAU WAOMBWA KUJITOKEZA KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA WAZEE KASULU
Na Magreth Mbinga
Serikali na wadau hususani vijana wameombwa kuhakikisha kuwa wazee wanapata haki zao stahiki pamoja na kuimarishwa kwa sheria na kuondolewa kwa mifumo...
UMMY MWALIMU APOKEA VIFAA KINGA NA NYENZO ZA KUTOLEA ELIMU
Kyerwa, Kagera
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amepokea vifaa kinga na nyenzo za kutolea elimu kwa umma kutoka Shirika la MDH-Tanzania ikiwa ni...











