Friday, June 26, 2026
Home 2022 October 10

Daily Archives: October 10, 2022

VIWANDA VYA NGUO VYAPEWA KIPAUMBELE; VIJANA, WANAWAKE KUNUFAIKA ZAIDI

0
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali inafanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha viwanda vya nguo nchini vinavyoajiri watu...

SERIKALI YATOA VIVUTIO VYA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA VIWANDA VYA DAWA NA VIFAA TIBA

0
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara - Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah amesema Serikali imetoa vivutio vya uwekezaji katika...

WAZIRI MKENDA APONGEZA KASI UJENZI VETA-GEITA//AKIWEKA KIKAANGONI CHUO CHA UFUNDI ARUSHA

0
Na Mathias Canal, WEST-Geita Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda amepongeza kasi ya ujenzi wa Chuo cha Ufundi stadi-VETA katika mkoa...

WAZIRI UMMY: IPO HAJA YA KUANGALIA NAMNA YA KUTOA HUDUMA ZA KISAIKOLOJIA NA AFYA...

0
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kutokana na matukio mbalimbali yanayotokea nchini, ipo haja ya kuangalia namna ya kutoa huduma za kisaikolojia na afya...

WAZIRI KAIRUKI ATOA MAAGIZO KWA WAKALA WA MABASI YAENDAYO KWA HARAKA (DART)

0
Angela Msimbira OR-TAMISEMI WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki ameutaka Walaka wa Mabasi Yaendayo Haraka(DART)...

WAZIRI KAIRUKI ATEMBELEA WAKALA WA MABASI YAENDAYO HARAKA – DART

0
OR TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah J. Kairuki akiwasili Makao Makuu ya Ofisi za...