WANANCHI KAGERA WAIPONGEZA WIZARA YA AFYA KWA KUTOA ELIMU YA UGONJWA WA EBOLA.
Na.Faustine Gimu, Missenyi Kagera.
Wananchi wa Bunazi Wilayani Missenyi Mkoani Kagera wamefurahishwa na hatua mbalimbali za wizara ya Afya na ubunifu wa utoaji wa elimu...
PROF.MKENDA SERIKALI KUJA NA MAGEUZI MAKUBWA YA ELIMU NCHINI
Amesema Serikali kusheherekea Siku ya Mwalimu Duniani 2023 Bukombe
Ahaidi kujenga VETA wilaya ya Bukombe
Imeelezwa kuwa, Serikali imepanga kufanya mageuzi makubwa katika utoaji wa elimu...
DKT.BITEKO SERIKALI INATAMBUA MCHANGO WA MWALIMU KATIKA MAENDELEO
Imeelezwa kuwa, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan inautambua mchango wa mwalimu katika kujenga maendeleo ya Taifa.
Hayo...
SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema ndani ya siku 558 tangu Rais Samia Suluhu...
WAFANYAKAZI NMB MADARAKA WATOA MSAADA HOSPITALI YA BOMBO.
NA BONIFACE GIDEON, TANGA
WAFANYAKAZI wa Benki ya NMB Tawi la Madaraka Jijini Tanga Leo wametoa msaada wa Vifaa mbalimbali kwaajili ya kuwasaidia akina Mama...
WAZIRI MKENDA AKERWA KUSUASUA UJENZI VETA-SIMIYU//ATOA MAAGIZO MRADI UKAMILIKE HARAKA
Na Mathias Canal, WEST-Simiyu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda (Mb) amekerwa na kusuasua kwa ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA...









