Saturday, June 27, 2026
Home 2022 October 4

Daily Archives: October 4, 2022

MHE.MCHENGERWA ATEMBELEA ENEO LA FILAMU ZA DILIRUS ERTUGRUL NA THE OTTOMAN

0
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,Mhe Mohamed Mchengerwa leo Oktoba 4, 2022, ametembelea eneo mashuhuri la uigizaji wa filamu nchini Uturuki chini ya mwongozaji...

WAZIRI MKUU AZINDUA MKAKATI WA NGOs DODOMA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua Mkakati wa Kitaifa wa Uendelevu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (National Strategy for NGOs Sustainability) na kuagiza utafsiriwe kwa...

WAZIRI UMMY MWALIMU AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU EBOLA

0
Na. Catherine Sungura, WAF - KAGERA. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amewatoa hofu Watanzania kuhusu Ugonjwa wa Ebola uliopo nchi jirani na kuwataka waendelee...

TARURA PANGANI YAMALIZA CHANGAMOTO YA KUJAA MAJI MAKAZI WAKATI WA MVUA.

0
NA. BONIFACE GIDEON, PANGANI Wakala wa barabara za vijijini (TARURA) Wilayani Pangani imesema katika kuhakikisha changamoto za miundombinu ya Barabara za Vijijini katika wilaya hiyo...

WIZARA YA ARDHI IMEONGEZA SIKU TATU KUSIKILIZA MALALAMIKO YA MIGOGORO YA ARDHI DODOMA

0
Na Magreth Mbinga Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imeongeza siku za kusikiliza malalamiko ya migogoro ya Ardhi katika mkoa was Dodoma baada...