RAIS SAMIA AMEIPONGEZA WIZARA YA MADINI KWA KUISIMAMIA SEKTA HIYO.
Atoa maagizo kwa Wizara ya Madini
Asema Mkoa wa Geita ni kinara wa dhahabu
Asisitiza viwanda vya kusafisha dhahabu kisasa vipo hapa Tanzania
Serikali kuangalia upya tozo...
RAIS SAMIA AAGIZA UJENZI OFISI ZA MACHINGA KILA MKOA KUANZA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameagiza Ofisi ya Rais, TAMISEMI kuandaa ramani maalum ya kujenga Ofisi za wafanyabiashara...
PSPTB YASHAURIWA KUTOKUFUNGA OFISI ILIYOPO JIJINI DAR ES SALAAM
Na Magreth Mbinga
Bodi ya manunuzi ya Umma PSPTB yashauriwa kuto kufunga ofisi ya Mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuhamia rasmi Dodoma toka...
MAJALIWA: MAAGIZO YA MHE. RAIS SAMIA YA NCHI KUJITOSHELEZA KWA SUKARI YANUKIA
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema maagizo ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ya nchi kujitosheleza kwa uzalishaji wa sukari yameanza kunukia baada ya...
DKT.MWINYI AELEZA MAFANIKIO YA ZIARA YAKE NCHINI OMAN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, pamoja na ujumbe wake...
KAMPASI YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KUJENGWA KAGERA-WAZIRI MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Kagera
Katika kuboresha huduma za upatikanaji wa elimu kwa wanafunzi nchini Serikali imepanga kujenga Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam...









