MAJALIWA: WATALII WAONGEZEKA NCHINI
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amesema takwimu za mwaka 2021 zinaonesha kuwa watalii wanaokuja nchini Tanzania wameongezeka kwa asilimia 48.6 kutoka watalii 620,867 mwaka...
WAZIRI UMMY: JUKUMU LETU NI KUHAKIKISHA MGENI ANAYEINGIA NCHINI HALETI MAAMBUKIZI
Na.Catherine Sungura,WAF, Kyerwa
Jukumu la Wizara ya Afya ni kuhakikisha yeyote anayeingia nchini Tanzania haingizi ugonjwa kutokana na muingiliano baina ya wananchi wa Tanzania na...
DC NYANGASA AUNGANA NA WAZEE KUADHIMISHA SIKU YA WAZEE DUNIANI, KIGAMBONI
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Fatma Nyangasa leo tarehe 05 Oktoba, 2022 ameungana na Baraza la Wazee la Wilaya ya Kigamboni katika kuadhimisha...
NMB KOROGWE WAAZIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUKUTANA NA WADAU WA MAENDELEO
Na. Yusuph Mussa, Korogwe
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Korogwe Mjini mkoani Tanga Thobias Nungu amesema Benki ya NMB bado ni kimbilio...
WAMACHINGA WAKERWA NA PANYA ROAD, WAELEZA MACHUNGU YAO
Wajasiriamali wadogo wadogo wamekuwa wahanga wa matukio Panya road maana wanaamka alfajiri sana ili kuwai kuchukua mizigo kwa lengo la kuuza katika masoko mbalimbali...
SHAKA AZINDUA MSIMU WA KILIMO MOROGORO
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amezindua msimu wa kilimo katika Mkoa wa Morogoro na...
WANANCHI WA KIBAHA KUNUFAIKA NA MIRADI MIKUBWA NA YA KIMKAKATI
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe. Sarah Msafiri amewatoa hofu wananchi wanaopitiwa na miradi mikubwa ya kimkakati wilayani humo kuwa hakuna atakayehamishwa bila kulipwa...
PESAPAL YAWAHAKIKISHIA USALAMA NA ULINZI ZAIDI WATEJA WAO
PESAPAL imeboresha suluhisho lake la malipo ya biashara kidijitali (E-commerce) ili kuwezesha uthibitishaji wa miamala ya mtandaoni, teknolojia ya hali ya juu, utoaji wa...
ROMBO KUTUMIA SOKO LA KIMATAIFA KUUZA NDIZI ILI KUONGEZA KIPATO CHA WAKULIMA-MKENDA
Na Mathias Canal, WEST-Rombo
Ndizi ni zao kubwa la biashara na chakula hivyo likitumika vizuri litabadili uchumi wa wakulima na nchi kwa ujumla wake.
Katika kuimarisha...
TARI YATATHIMINI MAFANIKIO YAKE, TEKNOLOJIA YAPEWA KIPAUMBELE
Na. BONIFACE GIDEON, Tanga
Wstalaamu kutoka TARI Kanda ya Mashariki inayojumuisha Mikoa ya Tanga, Pwani na Dar es Salaam wamekutana kwa Siku mbili Jijini...













