DKT.MWINYI KUMUWAKILISHA MHE.SAMIA MIAKA 60 YA UHURU WA UGANDA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amewasili jioni hii katika uwanja wa ndege wa Entebbe Uganda kumwakilisha...
KAMPENI YA “JIFICHUE” YAZINDULIWA KWA AJILI YA KUTOA ELIMU YA AFYA YA AKILI
Kutokana na kukithiri kwa vitendo vyenye uhusiano na masuala ya afya ya akili nchini mtanzania anayefahamika kwa jina la Belinda ameanzisha kampeni ya JIFICHUE...
SERIKALI YATUMIA BILIONI 1 KUKARABATI NA KUONGEZA MIUNDOMBINU CHUO CHA UALIMU BUTIMBA-MWANZA
Na Mathias Canal, WEST-Mwanza
Serikali imetumia Shilingi Bilioni 1 kwa ajili ya kukarabati na kuongeza miundombinu ya elimu ya Chuo cha Ualimu Butimba kilichopo katika...
WAZIRI MKENDA ATAKA CHUO CHA DIT KUONGEZA MAFUNZO KWENYE UJUZI WA BIDHAA ZA NGOZI
Na Mathias Canal, WEST-Mwanza
Serikali imeitaka Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Saalam (DIT) kuhakikisha kuwa inaongeza ufundishaji kwenye ujuzi wa bidhaa za ngozi.
Waziri wa...







