MKUU WA WILAYA KOROGWE.BASILLA: ELIMU YA MAAFA IPEWE KIPAUMBELE
NA. MWANDISHI WETU
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Basilla Mwanukuzi ameziasa Kamati za Maafa kuendelea kutoa elimu katika maeneo yao ili kujiandaa na kukabili...
TWAHA KIDUKU, MANDONGA KUENDELEZA UBABE, HAPATOSHI MORO
Kampuni ya Mo Geen International Sports Promotion imeandaa pambano la ndondi mkoani Morogoro ikiwashirikisha mabondia nyota wenye historiia mbalimbali ndani na nje ya nchi,...
WAZIRI MKUU AZINDUA WIKI YA VIJANA, ATOA AGIZO KWA HALMASHAURI
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amezitaka halmashauri zote nchini ziendelee kutekeleza agizo la Serikali la kutenga maeneo rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki shughuli za uzalishaji...
MIKAKATI KUENDELEZA NCHI MASIKINI ZAIDI KUSAIDIA UBORESHAJI WA SERA
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Mikakati Madhubuti wa Kuendeleza Sekta za Uzalishaji Nchi maskini zaidi Afrika itasaidia kuboresha...
MWALIMU NYERERE AKUMBUKWA KAMA MWANA DIPLOMASIA NAMBA MOJA NCHINI
Na Magreth Mbinga
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa ni mtu wa kujifunza na kusikiliza hata kama ukiwa mdogo atakupa utulivu wa kuweza kujieleza iwe ndani...
SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAANDAA MKAKATI KUWASAIDIA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA...
Na Magreth Mbinga
Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam inapanga mipango ya kusaidia watoto wa mitaani kuweka utaratibu wa kuwatoa mahali hatarishi na kuwaweka...
WAZIRI JAFO: UTUNZAJI WA MAZINGIRA NI JUKUMU LA KILA MWANANCHI.
Na Saidi Ibada, Morogoro
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dr Selemani Jafo amesema jukumu la kuhakikisha mazingira yanakuwa salama...
WAVUVI WALISHUKURU SHIRIKA LA MWAMBAO COASTAL COMMUNITY NETWORK TANZANIA KWA KUWAPATIA ELIMU YA UFUNGAJI...
NA BONIFACE GIDEON, MKINGA
WAVUVI wa Samaki aina ya Pweza kata ya Boma Wilayani Mkinga Mkoani Tanga wapo kwenye furaha kubwa Baada ya Jana Oktoba...
SERIKALI YAOMBA VIONGOZI WA DINI KUKEMEA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA
NA MWANDISHI WETU
Serikali imetoa rai kwa viongozi wa dini kuendelea kuhimiza jamii kuepuka uraibu wa matumizi ya dawa za kulevya na kujenga uelewa kuhusu...
WADAU WA MAENDELEO WAHIMIZWA KUCHANGIA VIFAA VYA MISAADA YA KIBINADAMU WAKATI WA MAAFA.
Na Mwandishi wetu- Kilimanjaro
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe.Ummy Nderiananga amewahimiza wadau wa maendeleo na watu binafsi kuendelea kushirikiana...













