BODI YA WAKURUGENZI YA WRRB YATAKIWA KUKUZA JUHUDI ZA SERIKALI ZA KURASIMISHA MIFUMO YA...
WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameiagiza Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala (WRRB), kukuza juhudi...
DKT.BITEKO ASISITIZA UTEKELEZAJI MAKUBALIANO KATI YA TANZANIA NA BURUNDI KUHUSU SEKTA YA MADINI
Waziri wa Madini nchini Dkt. Doto Biteko amesisitiza kuhusu utekelezaji wa Mkataba wa Makubaliano baina ya nchi ya Tanzania na Burundi katika kubadilishana ujuzi...
SHAMRASHAMRA KUPATIKANA MISTER NA MISS KIZIWI WA DUNIA
Na Magrethy Katengu
Mashindano ya Dunia ya Mister and Miss Kiziwi yanatarajia kufanyika oktoba 29 2022 katika ukumbi wa mikutano wa Kimatataifa( NJICC) na mgeni...
NAIBU KATIBU MKUU JUMA MKOMI ATOA WITO KWA WABUNGE KULINDA RASILIMALI ZA MALIKALE.
Naibu Katibu wa Maliasili na Utalii, Juma S. Mkomi ametoa wito kwa Wabunge kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii katika kuyalinda na kuyatunza...
KOREA KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA UJENZI CHUO CHA TEHAMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Korea imekubali kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan katika ujenzi wa chuo cha...
SERIKALI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WADAU KATIKA USIMAMIZI WA MAAFA
NA.MWADISHI WETU
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Menejimeti ya Maafa imeeleza itaendelea kuimarisha ushirikiano na wadau wa masuala ya maafa nchini ili...









