WAZIRI MKENDA ATOA ONYO KWA BODI YA MIKOPO KUTOTOA USHIRIKIANO KAMATI YA UCHUNGUZI UTOAJI...
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ametoa onyo kwa uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu...
TAASISI YA ECKERNFORD YAWASHAURI VIJANA, SERIKALI KUCHUKUA HATUA HIZI ILI KUENDANA NA SOKO LA...
Na. BONIFACE GIDEON, TANGA
Taasisi ya Elimu Jijini Tanga ya Eckernford ( Eckernford Institute of Education) imewashauri Vijana wanaohitaji kujiari na wale wanaotafuta Ajira wachukue...
MCHATTA: MIFUMO RASMI ITUMIKE KUBORESHA KAZI ZA SERIKALI
Na. OMM Rukwa
Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Rashid Mchatta amewataka watumishi wa umma kutumika mifumo rasmi ya uendeshaji shughuli za serikali ikiwemo mabaraza ya...
WAZIRI MKUU ATEMBELEA ENEO YANAPOJENGWA MABEHEWA YA SGR
*Ni yale yanayotengenezwa nchini Korea Kusini kwa ajili ya SGR
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maendeleo na kasi ya ujenzi wa mabehewa mapya...
TIGO NA XIAOMI WAZINDUA SIMU HII KALI
Na Mwandishi Wetu
• Wateja kupata hadi GB 66 za intaneti kutoka TIGO bila malipo kwa mwaka mzima.
Dar es Salaam. Tarehe 25 Oktoba, 2022. Kampuni...
SERIKALI YAIFUNGIA SHULE YA CHALINZE MODERN ISLAMIC KUWA KITUO CHA MTIHANI KWA MUDA USIOJULIKANA
Na Mathias Canal, WEST-Dar es salaam
Kwa mujibu wa kifungu cha 4(8) cha kanuni za mitihani 2016, Serikali imeifungia shule ya Awali na Msingi Chalinze...
“WEKEZENI DODOMA”-WAZIRI. SIMBACHAWENE
NA.MWANDISHI WETU
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ametoa wito kwa jamii kuwekeza Dodoma...
MAJALIWA AWASILI SEOUL, KOREA YA KUSINI KWA ZIARA YA KIKAZI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo (Jumatatu, Oktoba 24, 2022) amewasili Seoul, Jamhuri ya Korea Kusini kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu.
Mheshimiwa Majaliwa alipokelewa...
DKT. SWITBERT MKAMA AMEONESHA KUTORIDHISHWA NA USIMAMIZI WA MRADI WA KUREJESHA ARDHI ILIYOHARIBIKA NA...
******** PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS ********
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama ameonesha kutoridhishwa na...













