Home Kitaifa MAJALIWA AENDA KOREA YA KUSINI KWA ZIARA YA KIKAZI Kitaifa MAJALIWA AENDA KOREA YA KUSINI KWA ZIARA YA KIKAZI By Joseph Nelson - October 24, 2022 FacebookTwitterPinterestWhatsAppLinkedinEmailTelegramCopy URL Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kabla hajaondoka nchini Oktoba 23, 2022, kwenda Korea ya Kusini kwa ziara ya kikazi. Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa, wa pili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James na wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla hajaondoka nchini Oktoba 23, 2022, kwenda Korea ya Kusini kwa ziara ya kikazi. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)