Saturday, June 27, 2026
Home 2022 October

Monthly Archives: October 2022

SERIKALI YA HAMASISHA WAWEKEZAJI KUJA KUWEKEZA TANZANIA

0
Naibu Waziri Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe.Mary Masanja (Mb.) amewahamasisha wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania kwani kuna fursa nyingi za uwekezaji ikiwemo Maliasilili na...

PROFESA NDALICHAKO AMPONGEZA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI NCHINI...

0
*Amesema NSSF kupitia uwekezaji wa mradi wa Mzizima Tower inadhihirisha kuwa inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita katika suala zima...

WATUMISHI MADINI WATAKIWA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KUVUTIA WAWEKEZAJI.

0
Wizara yatambua mchango wa watumishi waliostaafu na wanaotarajia kustaafu Yamtambua na kumpongeza Mtumishi aliyeshinda Medali Tatu ( 3) Mashindano ya SHIMIWI Asteria Muhozya na Tito Mselem-...

APPS AND GIRLS WAIBUKA MSHINDI WA PILI FIRST GLOBAL ROBOTICS CHALLENGE USWIS , WAZIRI...

0
OFISA wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Apps & Girls, Nancy Kaale (kushoto), akimweleza Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye...

ZAIDI YA WADAU 500 WAJISAJILI KUSHIRIKI WIKI YA AZAKI 2022 JIJINI ARUSHA

0
Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation for Civil Society  (CFC) Francis Kiwanga (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusu Wiki ya AZAKI inayotarajiwa kuanza...

BRELA,FCC,TIC, WAKUTANA NA WADAU

0
Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kupitia Taasisi zake za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Tume ya Ushindani (FCC) pamoja na...

ONESHO LA S!TE 2022 KUFUNGUA FURSA ZA UTALII KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM

0
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) amesema uwepo Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (S!TE) katika Jiji la Dar...

HAWA HAPA WASHINDI WA WAKISHUA TWENZETU QATAR NA Hisense , KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA...

0
Na Mwandishi Wetu. • SASA ZIMEBAKIA TIKETI 29 na vifurushi vya vifaa vya nyumbani 24 kutoka Hisense.  Oktoba  21, 2022,  Kampuni inayoongoza Tanzania katika kuhakikisha mtanzia anaishi...

TAKUKURU KUCHUNGUZA MIRADI YA AFYA MANISPAA YA SUMBAWANGA

0
Na. OMM Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga ameagiza  Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)  kufanya uchunguzi wa haraka juu ya...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA SWAHILI EXPO 2022 OCT 22

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema Serikali inatambua umuhimu wa sekta binafsi kama kichocheo cha kuimarisha...