TBS WATOA ONYO KALI KWA WANAOINGIZA BIDHAA ZISIZOKIDHI VIWANGO , MABATI HAYA KUTEKETEZWA
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara kutoka Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara Bw. Christopher Mramba akizungumza na waandishi wa habari leo alipotembelea ghala la...
NAIBU WAZIRI UJENZI NA UCHUKUZI ATUPELE MWAKIBETE AZINDUA BODI MPYA NCC
Na Magrethy Katenga
Bodi ya Baraza la Ujenzi(NCC) imetakiwa kuhakikisha inatekeleza masuala muhimu yatakayoendesha shughuli zao ikiwemo kutunga sheria ya majenzi hiyo kutunga sheria ya...
SENDIGA: SIJARIDHISHWA NA USIMAMIZI MIRADI YA AFYA KALAMBO
Na. OMM Rukwa
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga amemwelekeza Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Tano Mwera na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Shafii Mpenda...
WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUTETEA HAKI ZAO
NA Magreth Mbinga
Waandishi wa habari wanapata shida nyingi bila kujua kwamba nawao wanatakiwa kutetea haki zao ndio maana Jukwaa la Wahariri Tanzania limekaa na...
DKT.ABBASI ABAINISHA MAMBO SITA YA KUPATA MAFANIKIO KWENYE MICHEZO YA WANAWAKE.
Na John Mapepele
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amevitaka Vyama na Mashirikisho ya Michezo kuwa na dhana ya...
VIKAO VYA MASHIRIKIANO KUENDELEA KUFANYIKA
na mwandishi wetu.
Serikali imedhamiria kuendeleza kufanya Vikao vya Mashirikiano ili kufanya tafakari ya pamoja juu ya shughuli zinazofanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu wa...
USTAWI WA FAMILIA UNATEGEMEA LISHE BORA- RC SENDIGA
Na. OMM Rukwa
Halmashauri za mkoa wa Rukwa zimesema zitaendelea kuhakikisha zinatenga na kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji afua za lishe ili kukabiliana na...
DKT. KIJAJI: WIZARA INAFANYIA KAZI MAELEKEZO, MIONGOZO NA MAONI; UANZISHAJI, UENDESHAJI BANDARI YA BAGAMOYO,...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kuwa Wizara itayafanyia kazi maelekezo,...
DKT FRANCIS: NI WAJIBU WA VYUO VIKUU NCHINI KUFANYA TAFITI MBALIMBALI
Chuo Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) kimetakiwa kutengeneza mkakati maalumu wa kuwawezesha wahitaji wa Chuo hicho kuwa na uwezo wa kujiajiri kwa...
MRADI WA MAJI WA KIGOMA KUKAMILIKA DISEMBA 2022
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) ametembelea Mradi wa Kuboresha Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira Kigoma. Mradi huu unatumia ziwa...













