Saturday, June 27, 2026
Home 2022 October

Monthly Archives: October 2022

MCHENGERWA: FANYENI OPERESHENI YA UHARAMIA

0
Anitha Jonas - Ofisi ya Hakimiliki Tanzania Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa ameiagiza Ofisi ya Hakimiliki Tanzania kukamilisha marekebisho ya Sheria...

TANZANIA NA MISRI WAKUBALIANA KUENDELEA NA MRADI WA UCHIMBAJI VISIMA NA MABWAWA.

0
Cairo-Misri Mapema Tarehe 16 Octoba Waziri wa Maji Mhe.Jumaa Aweso alikutata na Waziri wa Maji wa Misri Mhe.Profesa Nabhan Sweilam Jijini Cairo na kuelekeza timu...

TANZANIA KUONDOKANA NA UPUNGUFU WA SUKARI 2023

0
Tanzania iko mbioni kuondokana na changamoto ya upungufu wa sukari ya nyumbani na ya viwandani ifikapo 2023 mara baada ya ujenzi wa Kiwanda cha...

SERIKALI KUFUFUA VIWANDA VYOTE VILIVYOKUFA NA KUTELEKEZWA

0
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.Ashatu Kijaji (Mb.) amewahakikishia watanzania kuwa Serikali imejipanga kikamilifu kufufua viwanda vyote vilivyokufa na kutelekezwa ili viweze...

WAKALA WA MAABARA YA VETERINARI TANZANIA YAPOA MSAADA WA FIMBO ZA KUTEMBELEA KWA WALEMAVU...

0
Na Magreth Mbinga Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania wametoa fimbo za kuwasaidia walemavu wa macho kutembea ikiwa ni kurudisha kwa jamii kama shukrani kwa...

KAMPASI YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KUJENGWA KIGOMA-WAZIRI MKENDA

0
Na Mathias Canal, WEST-Kigoma Serikali kupitia Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ina mpango wa kuanzisha kampasi ya MUHAS mkoani Kigoma. Kampasi hii...

WAZIRI SIMBACHAWENE AWAPA KONGOLE TIMU ZA MICHEZO OFISI YA WAZIRI MKUU

0
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Mhe: George Simbachawene amezipongeza timu za michezo za ofisi ya Waziri Mkuu kwa...

BODI YA FILAMU YAWAITA WASANII KUWASILISHA KAZI ZAO KUWANIA TUZO DESEMBA 2022 ARUSHA.

0
NA BONIFACE GIDEON, TANGA Bodi ya Filamu Tanzania leo mkoani Tanga imeanza zoezi la ukusanyaji wa kazi za sanaa za wasanii wa filamu mbalimbali hapa...

PROF. KITILA MKUMBO AJIVUNIA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA UBUNGO

0
Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amesema Serikali inaendelea kufanya maboresho ya miundombinu ya barabara katika Jimbo la Ubungo ili kuhakikisha zinapitika...

WATUHUMIWA 24 MBARONI TUHUMA ZA UHALIFU

0
Na Magrethy Katengu Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata Mohamed Amani (45) "kiziwi", mkazi wa Dar es Salaam na Mwanza pia...