Home Kitaifa MAJALIWA ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI MPYA SERIKALI YA KOREA

MAJALIWA ATEMBELEA ENEO LA UJENZI WA MJI MPYA SERIKALI YA KOREA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfano wa Mji Mpya wa Serikali ya Korea wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa mji huo lilillopo Sejong kwa lengo la kupata uzoefu utakaosaidi kuboresha ujenzi unaoendelea wa Mji wa Serikali Dodoma. Kushoto ni Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma, Meshack Bandawe.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma, Meshack Bandawe (kulia) wakizungumza na Msimamizi wa Ujenzi wa Mji Mpya wa Serikali ya Korea, Bw. Lee Sang Rae (katikati) wakati walipotembelea mji huo kwenye eneo la Sejong Oktoba 26, 2022 kwa lengo la kupata uzoefu utakaosaidia kuboresha ujenzi unaoendelea wa Mji wa Serikali Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Msimamizi wa Ujenzi wa Mji Mpya wa Serikali ya Korea, Bw. Lee Sang Rae (kushoto) kuteremka kwenye mnara uliomwezesha kuona eneo lote la ujenzi wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa mji huo lililopo Sejong, Oktoba 26, 2022 kwa lengo la kupata uzoefu utakaosaidi kuboresha ujenzi unaoendelea wa mji wa serikali Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wanaosimamia Ujenzi wa Mji Mpya wa Serikali ya Korea baada ya kuona eneo lote la ujenzi wa mji huo wakiwa kwenye mnara maalum, Oktoba 26, 2022. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Mji huo kwa lengo la kupata uzoefu utakaosaidi kuboresha ujenzi unaoendelea wa Mji wa Serikali jijini Dodoma, Oktoba 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here
Captcha verification failed!
CAPTCHA user score failed. Please contact us!