WAZIRI MKUU AISHUKURU SERIKALI YA DENMARK, AAGANA NA BALOZI WAKE
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameishukuru Serikali ya Denmark kwa misaada ambayo imekuwa ikiitoa kwenye miradi ya maendeleo nchini ambapo Krona milioni 1.95 (sh. bilioni...
MIKATABA MINNE YA UJENZI WA BARABARA YENYE THAMANI YA BILIONI 10.75 YASAINIWA DAR ES...
Na Magrethy Katengu - Dar es salaam
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imesaini mikataba minne ya miundombinu ya barabara yenye thamani ya bilioni...
TANESCO KUANZA KUFANYA MABORESHO YA LUKU MKOA WA PWANI NA DAR ES SALAAM
Na Magrethy Katengu, Dar es salaam
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kutakuwa na maboresho huduma zake katika mfumo wa Luku kwa wateja wake wa...
FEMATA WAOMBA BEI ELEKEZI YA TOZO KWA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI
Mwenyekiti wa bodi ya Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini nchini FEMATA Yusuph Kazi ameomba Wizara ya TAMISEMI iandae bei elekezi ya tozo kwa...
WAZIRI MKUU AZINDUA MITAMBO YA KISASA YA KURUSHIA MATANGAZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 15, 2024 amekagua na kuzindua mitambo na vifaa vipya vya kurushia matangazo vya kampuni ya Azam Media Limited.
Vifaa...
ASILIMIA KUBWA YA WANAWAKE WANAMILIKI UCHUMI WA FAMILIA, WANAUME WAKUMBUSHWA WAJIBU WAO.
Imeelezwa kuwa asilimia kubwa ya wanaume katika maeneo mbalimbali Nchini hawana nafasi ya uongozi kwenye familia zao kwani nafasi hiyo imeshikiliwa na wanawake kwakuwa...
RAIS MWINYI ALIVYOTEMBELEA BANDA LA TIGO MAONESHO YA SABASABA
UGENI MZITO : Katika kuhitimisha maonesho ya 48 ya kimataifa ya biashara Kampuni ya Mtandao wa simu ya Tigo Tanzania imepata ugeni wa heshima katika...