CHUO CHA VIWANDA VYA MISITU FITI CHAAZISHA KOZI YA BIASHARA YA HEWA KABONI*
CHUO cha Viwanda vya Misitu kimeanzisha kozi fupi ya biashara ya hewa kaboni ambayo imelenga kuifanya nchi kunufaika na zao hilo jipya la misitu.
Akizungumza...
NDERIANANGA AZINDUA MPANGO NA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIATARISHI VYA MAAFA NCHINI.
Naibu waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu, Ummy Ndariananga amefanya uzinduzi wa nyaraka za usimamizi wa maafa wilaya ya Kibiti kwa...
TAWA YATOA MADAWATI SHULE YA MSINGI CHANGARAWE ILIYOPO WILAYA YA MVOMERO
Na Mwandishi wetu--
Morogoro
MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imetoa msaada wa madawati 60 yenye thamani ya Shillingi Millioni 5 (5,000,000) kwa Shule...
TIC YATOA SEMINA JUU YA UWEKEZAJI WA WAZAWA MKOANI MARA
Na Shomari Binda-Musoma
KITUO cha Uwekezaji Tanzania ( TIC) kimeendesha semina kwa wafanyabiashara mkoani Mara juu ya kuwa wawekezaji na kupata fursa zikiwemo unafuu wa...
PROF. KITILA MKUMBO ATOA KITITA CHA SH. 2,000,000 KWA MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA...
Na Ofisi ya Mbunge Jimbo la Ubungo
Utani wa Jadi baina ya Simba na Yanga siyo uadui, ili kudhihirisha hilo mashabiki wa Vilabu hivyo katika...