UWANJA WA NDEGE WA IRINGA UANZE KAZI AGOSTI MOSI – MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 23 kwa Wizara za Ujenzi, Uchukuzi, taasisi zinazosimamia sekta ya anga na uongozi wa mkoa wa Iringa kutatua...
KAMILISHENI JENGO LA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA KWA WAKATI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt Selemani Jafo amemuagiza Mkandarasi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuongeza kasi ya ukamilishaji wa jengo la...
MIAKA 85 YA TAG KUAMBATANA NA TAMASHA LA MLIPUKO WA FURAHA DAR ES SALAAM
Na Magrethy KatenguDar es salaam
Kanisa la Assembles of God(TAG) kwa kushirikiana na SOS Adventure wanatarajia kubadilisha wale wote waliofungwa na kamba za Shetani kwa...
CPA MAKALA JITIHADA ZA SERIKALI KUONA UBORESHWAJI WA HUDUMA NCHINI
Na Mariam Muhando Dar es salaam.
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CCM CPA Amos Makala Amesema Jitihada za serikali...
TANI 1100 ZA UFUTA ZIMEUZWA PWANI KATIKA MNADA WA NNE KWA SHILINGI 3280/- KWA...
Tani 1100 za zao la ufuta zimeuzwa katika mnada wa nne wa msimu wa mwaka 2024/25 kwa bei ya shilingi 3280.13 kwa kilo Moja...
UTAIPENDA : ALICHOKIFANYA KAIMU MKURUGENZI TIGO KWA WATEJA SABASABA
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Bw. Jerome Albou ( kulia ) akimuelezea mteja kuhusu simu mpya Aina ya ZTE34 alipotembelea Banda la Tigo katika...
STEM PARK YAWANOA WANAFUNZI MATUMIZI TEKNOLOJIA AKILI MNEMBA
Na Boniface Gideon -TANGA
Kituo cha Sayansi jijini Tanga 'STEM PARK' kilichopo chini ya Project Inspire, mwishoni mwa wiki kimefunga mafunzo maalumu ya Teknolojia ya...
JIJI LA MWANZA LIMEADHIMISHA SIKU YA WATUMISHI
JIJI la Mwanza limeadhimisha siku ya Watumishi wa Umma kwa michezo ya aina mbalimbali huku hamasa juu ya Matumizi ya mifumo ya Tehama ikisisitizwa...
WANAWAKE MARA WAPONGEZA KAZI ZA MBUNGE GHATI CHOMETE UTEKELEZAJI WA ILANI
Na Shomari Binda-Musoma
WANAWAKE mkoani Mara wamepongeza kazi zinazofanywa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Mara Ghati Chomete kwa kugusa makundi ya kijamii.
Kauli hizo...