Saturday, October 12, 2024
Home 2024

Yearly Archives: 2024

ZAIDI YA WATU MIL 1.2 WANATARAJIA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA MKOANI PWANI...

0
Mkoa wa Pwani unatarajia kuandikisha zaidi ya watu milioni 1.2 kwenye daftari la wapiga kura, zoezi ambalo limeanza rasmi Oktoba 11 na linatarajiwa kukamilika...

DC SUMAYE AONGOZA WANANCHI KATIKA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA

0
Na Ashrack Miraji MKUU wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga Zephania Sumaye amesema zoezi la undikishaji wananchi kwenye daftari la makazi linaendelea vizuri, wananchi wamehamasika...

DC SAME AONGOZA WANANCHI KATIKA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MAKAZI

0
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Mkuu wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amesema zoezi la Undikishaji Wananchi kwenye Daftari la Mkazi linaendelea...

DKT KIKWETE MGENI RASMI KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE KATIKA...

0
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete anatarajia kuwa Mgeni rasmi katika kongamano la siku moja la Kimataifa la kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius...

WANAWAKE ACHENI WOGA JITOKEZENI KUWANIA NAFASI ZA UONGOZI

0
Na Magrethy Katengu-- Dar es salaam Wanawake Nchini hususan Vijana wa kike ( Wasichana) wametakiwa kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za Uongozi katika Uchaguzi wa Serikali...

BANDARI YA UVUVI YA KILWA MASOKO KULETA MAPINDUZI YA SEKTA YA UVUVI TANZANIA

0
Na Adery Masta -  Dar Es Salaam. Ujenzi wa Bandari ya kwanza ya uvuvi nchini Tanzania, Kilwa Masoko, iliyoko kwenye pwani ya Bahari ya Hindi katika mkoa...

DC KUBECHA AMEONGOZA KAMPENI YA HAMASA YA USHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024

0
Na Ashrack Miraji Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe Japhari Kubecha Jana Tarehe 9 Oktoba ,2024 Amezindua Kampeni Kabambe ya Kuhamasisha Wananchi Kushiriki kwenye Uchaguzi...

AKIBA COMMERCIAL BANK PLC YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

0
Na Magrethy Katengu- Dar es salaam Akiba Commercial bank Plc imewashukuru wateja wake kuungana nao katika safari hii ya kutoa huduma bora zaidi za kibenki...

TANESCO YAPEWA WIKI TATU KUPELEKA TRANSFOMA ENEO LA MKURANGA

0
SERIKALI imetoa wiki tatu kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupeleka transfoma eneo la Mkuranga, mkoani Pwani kuviwezesha viwanda kuzalisha kwa urahisi. Pia imewataka watumishi...

” VUNA NA TIGO PESA ” NAIBU WAZIRI SILINDE AKABIDHI PIKIPIKI , BAISKELI NA...

0
Mmoja wa washindi wa VUNA NA TIGO PESA  (Said Dole) aliyeko katikati akipokea zawadi ya pikipiki kutoka Tigo , kushoto akiwa Naibu Waziri wa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2024,
Karibu Tukuhudumie..