TRA YAJA NA FURSA KWA WATANZANIA WABUNIFU, ZAIDI YA 1,020 KUNUFAIKA NA DONGE NONO
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi awamu ya pili ya mashindano ya kupokea mawazo bunifu kutoka kwa umma, hatua inayolenga kupanua wigo wa...
SERIKALI YASISITIZA MSHIKAMANO NA UBUNIFU KUINUA ELIMU NCHINI
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir,akizungumza wakati akifunga Mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo leo Aprili...
UCSAF YAKAMILISHA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU 600 NCHINI
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 30,2026 bungeni Dodoma.
Na.Alex Sonna,Mzalendo blog-DODOMA
Katika...
WIZARA YA MAWASILIANO YAIBUKA NA VIPAUMBELE NANE KWA MAENDELEO YA TEHAMA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki,akiwasilisha Hotuba ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 leo Aprili 30,2026 bungeni Dodoma.
Na.Alex Sonna-DODOMAA
Serikali kupitia...
TANZANIA YAIMARIKA, KUWA KITOVU CHA MAFUNZO YA UTAWALA BORA AFRIKA
Tanzania imezidi kujiimarisha kama kitovu cha mafunzo utawala bora barani Afrika baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma...
MASHTAKA YAPOKEA KIPIGO KIZITO DHIDI YA TCDC KATIKA MECHI YA MAANDALIZI
Timu ya Mpira wa Miguu ya Mashtaka imeshindwa kuonesha ubabe wake baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-2 kutoka kwa TCDC Sports Club katika...
TTCL YAKABIDHI MAGARI NA BAJAJI KUBORESHA HUDUMA ZA MAWASILIANO
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limekabidhi magari tisa aina ya Toyota Hilux yenye thamani ya shilingi bilioni 1.6 pamoja na bajaji 28 zenye thamani...
UMEME SASA NI KITONGOJI KWA KITONGOJI
Tamasha la Kilimo lililokuwa likifanyika mkoani Mbeya limehitimishwa rasmi leo, Jumatano, tarehe 29 Aprili 2026, kwa mafanikio makubwa, huku likiwa limekusanya wadau mbalimbali wa...
NAIBU WAZIRI WA FEDHA AZINDUA PROGRAMU YA PhD CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM).
Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Jimbo la Kavuu, Mheshimiwa Laurent Luswetula (Mb), amezindua rasmi programu ya Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Chuo...
KAMATI ITUSHAURI UWEKEZAJI WENYE TIJA KATIKA KIWANDA CHA GENERAL TYRE – BALOZI SALUM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Mhe. Balozi Waziri Salum, ameiagiza kamati ya wataalamu kufanya uchambuzi na kutoa ushauri kuhusu uendelezaji wa...












