“NGUVU YA PAMOJA YATAKIWA KATIKA MAFANIKIO YA DHANA YA AFYA MOJA” DKT. MANYATTA
Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Afya Moja kutoka Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu inayoshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye...
WAKAGUZI WA NDANI WAASWA KUZINGATIA UADILIFU, WELEDI NA MAADILI KATIKA KULINDA RASILIMALI ZA UMMA
Wakaguzi wa ndani nchini wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi, na kwa kuzingatia maadili ya kazi ili kulinda maslahi ya taifa na kuhakikisha...
MRADI WA BILIONI 3.8 WAKAGULIWA KATA YA KWEMBE
Kwembe, Ubungo
Ziara ya kukagua maendeleo ya mradi utakaozinduliwa na Mwenge imefanyika katika Shule ya Sekondari Barbro Johanson iliyopo ndani ya Kata ya Kwembe. Mradi...
AFRIKA YAUNGANA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO ZA SOKO LA KIMATAIFA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo, amesema kuwa mkutano wa taasisi za ushindani barani Afrika umeleta pamoja wadau muhimu kutoka nchi mbalimbali...
MAMLAKA YAKAMATA BASI LENYE MIRUNGI KILO 101.2, WASIMAMIZI WA HOSTELI NA WENGINE 77 WAKITIWA...
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekamata basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya Abood, lenye namba...
TBS KUHAKIKISHA MATUMIZI BORA NA SALAMA YA NISHATI NCHINI , WAANDAA VIWANGO VYA UFANISI.
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuhakikisha matumizi bora na salama ya nishati nchini kwa kuandaa viwango vya...
TUME NA WADAU KUJADILI VIPAUMBE 6 VYA FYDP KWA KINA
Serikali itahakikisha vipaumbele vya Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (FYDP IV) vinaakisi uhalisia wa mchango wa Sekta Binafsi, inayotarajiwa kuchangia takribani...
PROF MKENDA ATANGAZA FURSA ZA UFADHILI KWA PROGRAMU ZA UZAMILI KATIKA SAYANSI YA DATA...
▪︎ Asisitiza Vijana kuomba udahili na ufadhili*
▪︎ Asisitiza Uwazi na Ushindani*
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, ametangaza rasmi kutolewa kwa ufadhili...
WAZIRI KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA KAMATI TENDAJI YA SHIRIKISHO LA MAMLAKA ZA...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati akifungua Mkutano wa 13 wa...












