Wednesday, April 15, 2026
Home 2026 March

Monthly Archives: March 2026

PETROLI DAR SASA 3,820 KWA LITA

0
Bei ya mafuta ya petroli imepanda kwa kiwango kikubwa, ambapo katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kutoka shilingi 2,864 kwa lita mwezi Machi...

SERIKALI YALENGA KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA UZALISHAJI VIWANDANI BARANI AFRIKA

0
Tanzania ina utajiri wa rasilimali za madini ya chuma, vanadiamu na titaniamu, ambayo yatachimbwa na kusindikwa hapa nchini ili kutosheleza mahitaji ya soko la...

TRA YATOA WITO KWA WALIPAKODI KUFANYA MAKADIRIO KWA WAKATI

0
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amewataka walipakodi ambao bado hawajafanyiwa makadirio ya kodi kwa nchi nzima kutumia...

NAIBU WAZIRI WA NISHATI AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA TANESCO MKOA WA SHINYANGA

0
Naibu Waziri wa Nishati Mh. Salome Makamba amekabidhi vitendea kazi vya usafiri kwa TANESCO Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kuimarisha utoaji wa huduma...

TBS NA FCC WAKUTANA NA WADAU WA BIDHAA ZA POMBE , WAWAELEZA HAYA

0
 Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Tume ya Ushindani (FCC) wamekutana na wadau wa bidhaa za pombe nchini kwa lengo...

MRADI WA DMDP II KUJENGA KILOMITA 42.78 ZA LAMI KIGAMBONI

0
Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kutekeleza ujenzi wa barabara Kilomita 42.78 kwa kiwango cha lami kupitia...

WALIMU 150 WA AMALI ZA KIHANDISI KWENDA INDIA KUONGEZA UMAHIRI

0
Tanzania imeandika ukurasa mpya katika historia ya elimu ya ufundi kwa kupeleka walimu 150 wa Amali za Kihandisi nchini India. Hatua hii kubwa ya kimkakati...

FCC YAZIDI KUSOGEZA ELIMU YA MLAJI KARIBU NA WANANCHI MUSOMA

0
TUME  ya Ushindani (FCC) kupitia Kanda ya Ziwa imeendelea kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kutoa elimu ya ulinzi wa mlaji kupitia Kliniki ya...

NYUMBA 560 ZAUZWA, NHC YANG’ARA KATIKA SEKTA YA MAKAZI

0
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeandika historia mpya katika sekta ya makazi baada ya kuuza nyumba zote 560 za Mradi wa Samia Housing...

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YATENGA SHILINGI BILIONI 2.6 MRADI WA MABADILIKO TABIANCHI

0
Mradi wa kuimarisha jamii na mifumo ikolojia katika kuhimili mabadiliko ya tabianchi ukanda wa misitu ya miombo umepanga kutumia Shilingi Bilioni 2.6 kwa mwaka...