Thursday, April 16, 2026
Home 2026 March

Monthly Archives: March 2026

FCC YATOA ELIMU YA KUMLINDA MLAJI KWA WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI MNAZI MMOJA

0
Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi kutoka FCC, Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusiana madhara ya bidhaa bandia katika Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja iliyopo jijini Dar es...

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA VIWANDA NA...

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), imeridhia Randama ya mpango wa bajeti...

TAARIFA MUHIMU KUTOKA PDPC KWA TAASISI ZINAZOKUSANYA NA KUCHAKATA TAARIFA BINAFSI.

0
 Na Mwandishi Wetu. Zimesalia siku chache kabla ya kufikiwa kwa ukomo wa usajili wa hiari kwa taasisi zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi nchini. Tume ya...

WAZIRI SHEMDOE: FANYENI KAZI KWA WELEDI KUWALATEA WANANCHI TABASAMU

0
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki  Shemdoe,akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI ...

TCDC NA TAKUKURU  ZASAINI MAKUBALIANO KUPAMBANA NA RUSHWA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

0
Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege,(kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...

REA YAENDELEZA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KOROGWE

0
Wananchi wa wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, wameanza kuona mwanga mpya wa maisha kufuatia kuendelea kwa mpango wa usambazaji na uuzaji wa mitungi ya...

ELIMU YA WALAJI YAONGEZA UELEWA KWA WANANCHI KANDA YA ZIWA

0
WATUMISHI  wa Tume ya Ushindani Ofisi ya Kanda ya Ziwa wametoa elimu kwa wadau mbalimbali, wakiwemo wanafunzi, waandishi wa habari na wafanyabiashara, walipotembelea Banda...

PIC YAAHIRISHA ZIARA BAADA YA KIFO CHA LUKUVI

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeahirisha ziara yake katika miradi ya Samia Housing na 711 Kawe inayotekelezwa...

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA RANDAMA YA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU 2026/2027

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepitisha randama ya mpango na makadirio ya bajeti ya matumizi ya kawaida pamoja na...

SAMIA SCHOLARSHIP KUIBUA KIZAZI KIPYA CHA WATAALAMU WA TEKNOLOJIA KIMATAIFA

0
Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) imepokea ugeni kutoka Chuo Kikuu cha Limerick cha nchini Ireland , ikiwa ni...