Wednesday, April 29, 2026
Home 2026 March 6

Daily Archives: March 6, 2026

WANANCHI WAHIMIZWA KUJIUNGA NA HIFADHI SKIMU

0
Na: OWM (KAM) - Mwanza Serikali imehimiza wananchi kujiunga katika na Hifadhi Skimu ili kujihakikishia usalama wa maisha yao ya sasa na baadaye ikiwemo kunufaika...

MASAUNI AITAKA BODI NCMC KUIMARISHA MIFUMO YA UPIMAJI, UTOAJI TAARIFA NA UHAKIKI WA GESIJOTO

0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza wakati akizindua Bodi ya Kituo Taifa cha Kuratibu Kaboni (NCMC),...

UMEME WA GRIDI KIGOMA WAOKOA BILIONI 58 ZA MAFUTA NA MATENGENEZO

0
Mradi wa kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma umeokoa takribani shilingi bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kila mwaka kwa ununuzi wa mafuta na matengenezo ya...

EWURA YAFUTA LESENI YA IYAN ENERGY,YASITISHA YA CRESCENT ENERGY KWA MIEZI SITA

0
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kufuta leseni ya rejareja ya bidhaa za mafuta ya petroli ya...

KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA WAWAKILISHI NA UBALOZI WA UINGEREZA

0
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi akizungumza wakati wa kikao baina yake na wawakilishi wa Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania...

DC NYAMWESE AWAPA SOMO WANAWAKE HANDENI MJI MATUMIZI YA SIMU JANJA KIBIASHARA 

0
Na Mwandishi Wetu, Handeni Wanawake katika Halmashauri ya Mji Handeni wametakiwa kutumia simu janja na teknolojia ya kidijitali kwa kuwa ni nyenzo muhimu ya kukuza...