Sunday, May 31, 2026
Home 2026 March 26

Daily Archives: March 26, 2026

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YATENGA SHILINGI BILIONI 2.6 MRADI WA MABADILIKO TABIANCHI

0
Mradi wa kuimarisha jamii na mifumo ikolojia katika kuhimili mabadiliko ya tabianchi ukanda wa misitu ya miombo umepanga kutumia Shilingi Bilioni 2.6 kwa mwaka...

FCC YATOA ELIMU YA KUMLINDA MLAJI KWA WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI MNAZI MMOJA

0
Afisa Mlinda Mlaji Mwandamizi kutoka FCC, Magdalena Hall,akitoa elimu kuhusiana madhara ya bidhaa bandia katika Shule ya Sekondari Mnazi Mmoja iliyopo jijini Dar es...

KAMATI YA BUNGE YAPITISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA VIWANDA NA...

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), imeridhia Randama ya mpango wa bajeti...

TAARIFA MUHIMU KUTOKA PDPC KWA TAASISI ZINAZOKUSANYA NA KUCHAKATA TAARIFA BINAFSI.

0
 Na Mwandishi Wetu. Zimesalia siku chache kabla ya kufikiwa kwa ukomo wa usajili wa hiari kwa taasisi zinazokusanya na kuchakata taarifa binafsi nchini. Tume ya...

WAZIRI SHEMDOE: FANYENI KAZI KWA WELEDI KUWALATEA WANANCHI TABASAMU

0
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Prof. Riziki  Shemdoe,akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI ...

TCDC NA TAKUKURU  ZASAINI MAKUBALIANO KUPAMBANA NA RUSHWA KWENYE VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

0
Mrajis na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania, Dkt. Benson Ndiege,(kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...