Friday, May 1, 2026
Home 2026 March 17

Daily Archives: March 17, 2026

SERIKALI YAZIPOKEA CHANGAMOTO ZA WENYE VIWANDA; YAAHIDI MAZINGIRA BORA YA KIBIASHARA KATIKA BAJETI IJAYO.

0
Na. Saidina Msangi, WF, Dar es Salaam. Serikali imewahakikishia wamiliki na wadau wa viwanda nchini kuwa inaendelea kuweka mazingira wezeshi ya biashara, huku ikibainisha kuwa...

SERIKALI KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA BIASHARA – DKT. YONAZI

0
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dkt. Jim Yonazi amesema Serikali imefanya juhudi mbalimbali za kisera, kisheria na...

EWURA, WRBWB NA TFS WAPANDA MITI 5,000 KUADHIMISHA WIKI YA MAJI DUNIANI MOROGORO

0
Morogoro: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo imeongoza kampeni ya kupanda miti mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya...

WANANCHI KUNUFAIKA NA HUDUMA YA “SEMA NA WAZIRI” ILIYOZINDULIWA DODOMA

0
Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Juma Zuberi Homera, amezindua rasmi programu ya “Sema na Waziri” leo Machi 17, 2026 jijini Dodoma, ikiwa ni hatua...

SERIKALI YAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUKUZA VIWANDA NCHINI

0
Serikali imesisitiza azma yake ya kuendelea kuweka mazingira bora ya ufanyaji wa biashara na uwekezaji nchini ili kuchochea ukuaji wa sekta za viwanda, kuongeza...

TBS WATOA MAFUNZO MAALUM KWA WAZALISHAJI WA MKAA MBADALA KIGOMA.

0
 Na Mwandishi Wetu. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo maalum kwa wajasiriamali wanaojihusisha na uzalishaji wa nishati safi ya mkaa mbadala katika mkoa wa...