SERIKALI YAWEKA UWAJIBAKAJI SEKTA YA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ameutumia uzinduzi wa “Samia Ardhi Kliniki” jijini Dar es Salaam...
MHE.LONDO ASISITIZA ULINZI WA AJIRA NA UKUAJI WA UCHUMI KUPITIA VIWANDA
Serikali kuendelea kuweka mazingira salama kwa wenye Viwanda vinavyofanya kazi na kutatua changamoto kwa wakati ili kuendelea kulinda ajira za Watanzania na kuongeza mzunguko...
WAZIRI MKUU: ELIMISHENI WANANCHI MASUALA YA ARDHI
WAZIRI MKUU Dkt Mwigulu Nchemba amewaomba Wabunge wa Mbulu na uongozi wa wilaya hiyo waendelee kutoa elimu kwa wananchi juu ya kuendeleza amani na...
WANAWAKE KUNUFAIKA NA HATI, ELIMU NA UTATUZI WA MIGOGORO YA ARDH KUPITIA SAMIA ARDHI...
Na.Alex Sonna-Dodoma
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanzisha kliniki maalum iitwayo Samia Ardhi Kliniki nchi nzima kwa lengo la kuongeza idadi ya...







