WANAWAKE 1916 WAHUDHURIA SAMIA ARDHI KLINIKI DODOMA KUFUATILIA HATI ZA ARDHI
Na.Alex Sonna-DODOMA
JUMLA ya wanawake 1916 wamefika katika viwanja vya Ofisi za Ardhi kufuatilia hati zao za ardhi na kupata huduma mbalimbali za masuala ya...
DK. KIMARO: MIRADI YA FAMILIA NI SULUHISHO LA AJIRA KWA VIJANA
Mchungaji wa Usharika wa Kijitonyama, Dk. Eliano Kimaro, amesema serikali yoyote duniani haiwezi kuajiri wahitimu wote, hivyo ni muhimu kuwepo kwa miradi ya familia...
WANANCHI DODOMA WASHAURI TBA KUJENGA NYUMBA ZA KUPANGISHA KWA WATU BINAFSI
Baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) katika Kliniki maalum ya kutatua kero za wananchi iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere...
TFS YAPOKEA TUZO YA SHUKRANI HAFLA YA THE CITIZEN RISING WOMAN GALA
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika tarehe 08 Machi kila mwaka,Wakala wa huduma za Misitu (TFS) imepokea tuzo ya Shukrani kufuatia udhamini...







