KAPINGA: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZAA MATOKEO MAKUBWA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amesema kuwa mafanikio ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na China yanaendelea kuimarika kwa kasi...




