TBA YASHIRIKI KLINIKI YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI DODOMA
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) Mkoa wa Dodoma unashiriki katika Kliniki maalum ya kutatua kero na changamoto mbalimbali za wananchi iliyoandaliwa na Ofisi ya...
KIGOMA YAPATA MSHINDI WA PIKIPIKI
Mjasiriamali Daniel Deogratus Sambo, mkazi wa Kigoma Mjini, ameibuka mshindi wa pikipiki aina ya TVS kupitia promosheni ya “Shinda Boda”.
Akizungumza baada ya kupokea zawadi...
EWURA KANDA YA KASKAZINI YAWANOA VIONGOZI WA WILAYA YA KOROGWE
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kupitia Kanda ya Kaskazini, leo tarehe 5 Machi 2026 imetoa elimu kwa viongozi wa...
SHEIKH MKUU WA TANZANIA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUMILIKI ARDHI BAADA YA KUPATA HATI SAMIA ARDHI...
Dar es salaam –
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir, ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kutumia fursa ya huduma za ardhi...
RC SENYAMULE AIPA KONGOLE WIZARA YA ARDHI KUANZISHA SAMIA ARDHI KLINIKI
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule ameipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuendesha zoezi la Samia Ardhi Kliniki...








