Thursday, April 16, 2026
Home 2026 March

Monthly Archives: March 2026

WIZARA YA ARDHI YAWASILISHA RANDAMA YA BAJETI 2026/2027 KWA KAMATI YA BUNGE

0
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo akizungumza wakati wa kuwasilisha Randama ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha...

WAKULIMA WAASWA KUHAKIKISHA MIZANI ZILIZOUNGANISHWA NA MFUMO WA MUVU ZINATUMIKA KUPIMA MAZAO YAO

0
Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Dkt. Benson Ndiege amevitaka Vyama vya Ushirika vya Mazao nchini kutumia mizani za kidigitali katika kupima mazao ya wakulima...

DIT NA CEBOT YA MAREKANI WASAINI HATI YA MAKUBALIANO, KUFUNGUA FURSA KIMATAIFA KATIKA ELIMU...

0
Na Mwandishi Wetu. Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na taasisi ya Council Exchange Board of Trade (CEBOT) ya...

EWURA KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA MAFUTA KWA WAKATI

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeagizwa kuhakikisha upatikanaji wa bidhaa za mafuta ya petroli nchini unaendelea bila vikwazo, huku...

TANZANIA NA AUSTRIA ZAIMARISHA USHIRIKIANO WA KIMKAKATI KWA MAENDELEO ENDELEVU

0
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), amesema Tanzania itaendelea kushirikiana kwa karibu na Austria ili kuhakikisha malengo ya Mkakati mpya...

TUTAENDELEA KUWEZESHA BIASHARA KWA MAKAMPUNI KUTOKA CHINA – CG MWENDA

0
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda amesema TRA itaendelea kuwezesha biashara kwa makampuni kutoka nchini China na kushirikiana...

KAPINGA: USHIRIKIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZAA MATOKEO MAKUBWA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amesema kuwa mafanikio ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na China yanaendelea kuimarika kwa kasi...

FCC YASISITIZA UMUHIMU WA KUJUA HAKI NA WAJIBU WA MLAJI

0
  Afisa Mlinda Mlaji kutoka FCC Bw.Anderson Lwiza,akitoa elimu kuhusiana madhara ya bidhaa bandia kwa wanafunzi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Njombe (FDC)...

WAKALA WA VIPIMO WAITIKIA WITO WA RAIS SAMIA KUHUSU UPANDAJI MITI

0
Na WMA – Dodoma Watumishi wa Wakala wa Vipimo (WMA), wameitikia wito wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

FCC YAIMARISHA UELEWA WA MIKATABA YA UPANDE MMOJA KWA VIJANA

0
.... KATIKA harakati za kuimarisha uelewa wa haki za walaji nchini, Tume ya Ushindani (FCC) leo Machi 19, 2026 imetoa elimu kwa wanachuo wa Chuo Cha...