Thursday, April 16, 2026
Home 2026 March

Monthly Archives: March 2026

VIONGOZI WA DINI WAASWA KUENDELEA KUIMARISHA MALEZI NA MAADILI KWA VIJANA

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasihi Viongozi wa Dini kuendelea kuwekeza katika kufundisha maadili mema kwa...

TANESCO YAGUSA MIOYO YA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM

0
Katika kuendeleza dhamira ya uwajibikaji kwa jamii, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), tarehe 19 Machi 2026, lilifanya ziara ya kutembelea vituo vitatu vya watoto...

RIPOTI YA EWURA : MOSHI, NZEGA, BIHARAMULO MAMLAKA BORA ZAIDI ZA MAJI NCHINI

0
Mamlaka za maji na usafi wa mazingira za Moshi, Nzega na Biharamulo zimetwaa tuzo za mamlaka bora nchini, katika tathmini ya ripoti ya EWURA...

FCC YATOA ELIMU YA ULINZI WA MLAJI KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI BUNGE

0
Afisa Mlinda Mlaji kutoka FCC ,Thecla Kitosi,akitoa elimu kuhusiana madhara ya bidhaa bandia katika shule ya Msingi Bunge ikiwa ni sehemu ya kuelekea Maadhimisho ya...

WADAU WA SEKTA YA MILKI MWANZA WAHIMIZWA KUZINGATIA SHERIA NA TAALUMA

0
MWANZA Wadau wa Sekta ya Milki mkoani Mwanza wamesisitizwa kufanya kazi kwa weledi kwa kuzingatia sheria, taratibu na misingi ya taaluma ya milki ili kuhakikisha...

WANANCHI MKINGA WAANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI KABLA YA UKAMILISHWAJI

0
Zaidi ya wakazi 57,000 wilayani Mkinga mkoa wa Tanga wanatarajiwa kunufaika na mradi mkubwa wa maji wa Mkinga-Horohoro uliofikia asilimia 65 ya...

FURAHA YATANDA KWA KINAMAMA WA JAI BAADA YA RAMADHANI CHARITY PROGRAM KUTOA IFTAR

0
Furaha imetanda kwa kinamama wa taasisi ya JAI baada ya kupokea sadaka ya Iftar kutoka kwa taasisi ya Ramadhani Charity Program 2026, ikiwa ni...

SERIKALI YAZIPOKEA CHANGAMOTO ZA WENYE VIWANDA; YAAHIDI MAZINGIRA BORA YA KIBIASHARA KATIKA BAJETI IJAYO.

0
Na. Saidina Msangi, WF, Dar es Salaam. Serikali imewahakikishia wamiliki na wadau wa viwanda nchini kuwa inaendelea kuweka mazingira wezeshi ya biashara, huku ikibainisha kuwa...

SERIKALI KUIFANYA TANZANIA KITOVU CHA BIASHARA – DKT. YONAZI

0
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dkt. Jim Yonazi amesema Serikali imefanya juhudi mbalimbali za kisera, kisheria na...

EWURA, WRBWB NA TFS WAPANDA MITI 5,000 KUADHIMISHA WIKI YA MAJI DUNIANI MOROGORO

0
Morogoro: Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo imeongoza kampeni ya kupanda miti mkoani Morogoro ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya...