WANANCHI KUNUFAIKA NA HUDUMA YA “SEMA NA WAZIRI” ILIYOZINDULIWA DODOMA
Waziri wa Katiba na Sheria,Dkt. Juma Zuberi Homera, amezindua rasmi programu ya “Sema na Waziri” leo Machi 17, 2026 jijini Dodoma, ikiwa ni hatua...
SERIKALI YAIMARISHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI KUKUZA VIWANDA NCHINI
Serikali imesisitiza azma yake ya kuendelea kuweka mazingira bora ya ufanyaji wa biashara na uwekezaji nchini ili kuchochea ukuaji wa sekta za viwanda, kuongeza...
TBS WATOA MAFUNZO MAALUM KWA WAZALISHAJI WA MKAA MBADALA KIGOMA.
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo maalum kwa wajasiriamali wanaojihusisha na uzalishaji wa nishati safi ya mkaa mbadala katika mkoa wa...
DIT WAWAFIKIA WAZALISHAJI WA VIATU KANDA YA ZIWA , WAJENGEWA UWEZO.
Na Mwandishi Wetu.
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Kampasi ya Mwanza kwa kushirikiana na Kituo cha Biashara cha Kimataifa (ITC) kupitia mradi wa...
REA IMEBEBA AJENDA YA MAENDELEO YA WATU WA VIJIJINI MKOANI GEITA – MWENYEKITI KAMATI...
Na Mwandishi Wetu - Geita
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati...
FCC YATOA ELIMU KWA WANANCHI WA CHALINZE
Maafisa wa kulinda walaji kutoka Tume ya Ushindani (FCC) wametoa elimu kwa wananchi wa Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani kuhusu haki na wajibu wa...
KAMATI YA BUNGE YAITAKA WMA KUHAKIKI MITA ZA UMEME KWA MUJIBU WA SHERIA
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeiagiza Wakala wa Vipimo (WMA) kuhakikisha mita za umeme zinahakikiwa kikamilifu kabla ya...
MAFUNZO YA USALAMA DHIDI YA MIONZI YAFUNGWA: WASHIRIKI WAPEWA MIKAKATI YA KUPUNGUZA HATARI
Mafunzo ya Kitaifa ya Ulinzi na Usalama Dhidi ya Mionzi kwa Watumiaji wa Vifaa vya X-Ray Fluorescence (XRF) yaliyofanyika Buzwagi kuanzia tarehe 10 Machi...
KAIMU KAMISHNA WA UHIFADHI TAWA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA MAANDALIZI YA BAJETI YA TAWA
Na. Joyce Ndunguru, Dodoma.
Kaimu Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Mlage Yussuf Kabange amefungua rasmi kikao kazi cha maandalizi...
VITONGOJI UKANDA WA NYASA VYAFIKIWA NA MIRADI YA REA
Wakala wa Nishati Vijijini (REA), umeendelea kutekeleza miradi ya kupeleka huduma ya umeme katika maeneo ya vitongoji ili kuwawezesha wananchi waliopo maeneo hayo kupata...













